MWENYEKITI TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA AMTEMBELEA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA OFISINI KWAKE
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora, Mheshimiwa Jaji
Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Katiba na Sheria,
Mheshimiwa Augustino Mahiga baadhi ya machapisho kutoka tume katika kikao
kifupi kilichofanyika katika ofisi za Wizara ya Katiba na Sheria.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mh Mahiga akiongea na ujumbe waTume ya Haki
za Binadamu na Utawala bora uliotembelea ofini kwake mapema Novemba 18, 2019.
Comments
Post a Comment