USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizindua zoezi la uandikishaji wa watoto wa umri chini ya miaka mitano na ugawaji wa vyeti kwa watoto hao katika mikoa ya Morogoro na Pwani uliofanyika katika viwanja vya uwanja wa Ndege Mkoa wa Morogoro. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akionesha cheti cha kuzaliwa kwa wananchi waliofika kwenye uzinduzi wa uandikishaji wa watoto wa umri chini ya miaka mitano na ugawaji wa vyeti kwa watoto hao katika mikoa ya Morogoro na Pwani. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju akiongea na wananchi kwenye uzinduzi wa uandikishaji wa watoto wa umri chini ya miaka mitano na ugawaji wa vyeti kwa watoto hao katika mikoa ya Morogoro na Pwani. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiangalia cheti cha kuzaliwa mtoto baada ya kuandikishwa kwenye uzinduzi wa uandikishaji wa watoto wa umri chini ya miaka mitano na ugawaji wa vyeti ...
Comments
Post a Comment