WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAFANYA UCHAGUZI KUPATA WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Deogratias Yinza akiongoza kikao cha uchaguzi wa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo. Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma Bw. Antelmas Tarimo (aliyesimama) akitoa sifa za wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi kabla ya uchaguzi wa wajumbe wa baraza hilo. Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakisikiliza maelekezo kabla ya kufanya uchaguzi wa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi. Msimamizi wa uchaguzi wa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Neema Dickson (kulia) akisimamia zoezi la kuhesabu kura. Msimamizi wa uchaguzi wa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Neema Dickson akitangaza matokeo ya uchaguzi huo. XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Deogratias Yinza awataka wajumbe waliochaguliwa kuwawakilisha wenzao kwenye baraza la wafanyakazi kuh...