BALOZI MAHIGA AONGOZA KIKAO CHA WAKUU WA HAKI JINAI KUANGALIA HALI HALISI YA MABARAZA YA ARDHI

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Taasisi za Haki Jinai nchini (Collegium) baada ya kumaliza kikao chao cha kuangalia hali halisi ya Mabaraza ya Ardhi nchini.

Mjumbe wa kikao cha kuangalia hali halisi ya Mabaraza ya Ardhi nchini ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi kutoka TAMISEMI Bw. Stanley Kamana akifafanua jambo katika kikao hicho.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongoza kikao cha Wakuu wa Taasisi za Haki Jinai nchini (Collegium) cha kuangalia hali halisi ya Mabaraza ya Ardhi nchini.



Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA