Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Joseph Mhagama akiongoza kikao cha kamati cha kujadili taarifa ya miezi mitatu ya utekelejazi wa majukumu ya Wizara pamoja na Taasisi zake katika ukumbi wa bunge tarehe 21 Agosti 2023 jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul akiwasilisha taarifa kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika ukumbi wa bunge tarehe 21 Agosti 2023. Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Sera na Mipngo Bw. Mbaraka Stambuli akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara kwenye Kamati ya Kudumu ya bunge Utawala, Katiba na Sheria tarehe 21 Agosti 2023. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Joseph Mhagama akifuatilia taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Katiba na Sheria kwenye kikao kilichofanyika tarehe 21 Agosti 2023 jijini Dodoma. XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Na, George
Comments
Post a Comment