NAIBU KATIBU MKUU AKAGUA HUDUMA ZA ZA UTOAJI MSAADA WA KISHERIA MKOANI TABORA
Viongozi
mbalimbali wakimpokea Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba Amon Mpanju
(katikati) kwa ajili ya kuhudhuria hafla fupi ya uzinduzi wa Kamati
ya Uratibu wa Huduma ya Msaada wa Kisheria kwa ngazi ya Mkoa wa Tabora jana
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba Amon Mpanju (kushoto) akibadilishana
mawazo na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Tabora (Utumishi na Utawala) Hamis Mkunga
(kulia) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi Kamati ya
Uratibu wa Huduma ya Msaada wa Kisheria kwa ngazi ya Mkoa wa Tabora jana.
Msajili
Msaidizi wa Kamati ya Uratibu wa Huduma ya Msaada wa Kisheria kwa ngazi ya Mkoa
(LAPS) Mkoa wa Tabora Panin Kerika akiwasilisha taarifa fupi ya hali ya utoaji
wa msaada wa kisheria wakati wa hafla fupi ya uzinduzi Kamati ya
Uratibu wa Huduma ya Msaada wa Kisheria kwa ngazi ya Mkoa wa Tabora jana
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba Amon Mpanju (katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Uratibu wa Huduma ya Msaada wa Kisheria
kwa ngazi ya Mkoa wa Tabora mara baada ya uzinduzi wa Kamati hiyo jana
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba Amon Mpanju akitoa nahasa zake wakati
wa uzinduzi wa Kamati ya Uratibu wa Huduma ya Msaada wa Kisheria kwa ngazi ya
Mkoa wa Tabora jana
Comments
Post a Comment