Kikao kati ya Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) cha kujenga uelewa wa jukumu la Wizara kuhusiana na Uangalizi na Usimamizi waUtajiri wa Asili na Rasilimali za nchi chafanyika Wizarani hapo Mtumba, jijini Dodoma. Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) wakifuatilia majadiliano wakati wa kikao chao na Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria. Mkurugenzi wa kitengo cha Uangalizi wa Utajiri wa Asili na Rasilimali Asilia cha Wizara ya Katiba na Sheria Bi Neema Mwanga akielezea jambo wakati wa kikao kati ya Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Bi. Getrude kutoka kitengo cha mazingira UNDP akichangia mada. Mkurugenzi Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma Bw. Griffin Mwakapeje akichangia mada. Bw. Godfrey Mulisa kutoka UNDP akichangia mada. Picha ya pamoja ya Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria na wataalam kutoka S...