VIONGOZI MBALIMBALI WALIOTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA


 Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Prof. Adelardus Kilangi akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama Kuu.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Mizengo Pinda akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma Bw. Griffin Mwakapeje alipotembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama Kuu.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Mizengo Pinda akisaini kitabu cha wageni  alipotembelea banda la Mahakama Kuu katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama Kuu.


 Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani Mhe. Jaji Stephen Magoiga akipata maelezo kutoka kwa watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria alipotembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria  katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama Kuu.


 Kaimu Mtendaji Mkuu RITA akisaini kitabu cha wageni  alipotembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria  katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama Kuu.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Palamagamba Kabudi akisaini kitabu cha wageni  alipotembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria  katika maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama Kuu.



Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA