WATUMISHI WANAWAKE WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Watumishi Wanawake wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakisherehekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.



Watumishi Wanawake wa Wizara ya Katiba na Sheria wakishiriki maandamano katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Watumishi Wanawake wa Wizara ya Katiba na Sheria wakifuatilia hotuba mbalimbali katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.



Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA