Thursday, April 15, 2021

WAZIRI KABUDI AWATAKA WATUMISHI KUWA WAZALENDO WA NCHI YAO

Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria.


Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akiongea katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo. 


Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda akifafanua jambo katika mkutano wa  Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo. 


Picha ya pamoja ya Waziri Kabudi na wajumbe wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi.



Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi.
 

No comments:

Post a Comment