Posts

Showing posts from May, 2021
Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi aongoza kikao kazi cha kikao kazi cha kutathmini zoezi la kutafsiri sheria mbalimbali katika lugha ya Kiswahili mapema leo tarehe 27 Mei, 2021 mjini Dodoma.   Kikao kazi hiki kimehudhuriwa na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo vya Sheria vya Wizara zote za Serikali.
Image
  Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sifuni Mchome akibadilishana mawazo na wataalamu wa Wizara wakati wa uandaji wa programu ya maendeleo ya kwenye Sekta ya Sheria mapema leo   jijini Arusha.
Image
Viongozi wa wizara wakiongozwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi  wakiwa pamoja na Viongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) walipotembelea wizara hivi karibuni mjini Dodoma.
Image
Wataalam wa Takwimu kutoka Taasisi za NBS , REPOA .ECRF na UONGOZI wakishiriki na Wizara  ya Katiba na Sheria kuangalia Mchango wa Sheria Sura 449 na 450 katika Pato la Taifa na Maendeleo ya Wananchi