Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi aongoza kikao kazi cha kikao kazi cha kutathmini zoezi la kutafsiri sheria mbalimbali katika lugha ya Kiswahili mapema leo tarehe 27 Mei, 2021 mjini Dodoma.  Kikao kazi hiki kimehudhuriwa na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo vya Sheria vya Wizara zote za Serikali.















Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA