PROF. MCHOME AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WAKATI WA KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUANDAA SERA YA TAIFA YA MASHTAKA
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi zinazosimamia haki jinai na Wataalam kujadili mapendekezo ya kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka. Wakuu wa Taasisi zinazosimamia Haki Jinai wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome wakati akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi zinazosimamia haki jinai na Wataalam kujadili mapendekezo ya kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi zinazosimamia haki jinai na Wataalam wakati wa kujadili mapendekezo ya kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wakati wa kujadili mapendekezo ya kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka. ...