Posts

Showing posts from June, 2021

PROF. MCHOME AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WAKATI WA KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUANDAA SERA YA TAIFA YA MASHTAKA

Image
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi zinazosimamia haki jinai na Wataalam kujadili mapendekezo ya kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka. Wakuu wa Taasisi zinazosimamia Haki Jinai wakimsikiliza Katibu Mkuu  Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome wakati akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi zinazosimamia haki jinai na Wataalam kujadili mapendekezo ya kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi zinazosimamia haki jinai na Wataalam  wakati wa kujadili mapendekezo ya kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam  wakati wa kujadili mapendekezo ya kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka.                                              XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX SERA YA TAIFA YA MASHTAKA YATARAJIWA KUKAMILIK

MFUMO WA MASHTAKA UFANANE NCHI NZIMA - MPANJU

Image
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju (katikati) akifungua kikao kazi cha siku tatu jijini Arusha cha wataalamu kutoka sekta ndogo ya haki jinai cha kukusanya maoni yatakayowezesha  kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka nchini. Washiriki wa kikao kazi cha kukusanya maoni yatakayowezesha kuandaa Sera ya Taifa ya Haki Jinai wakisikiliza hotuba ya ufunguzi kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu (hayupo pichani). XXXXXXXXXXXXXXXXXXX Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju ataka mfumo wa mashtaka nchini uwe unaoeleweka, uliowazi na unaofanana nchi nzima. Ndg. Mpanju ameyasema hayo leo June 21, 2021 jijini   Arusha wakati akifungua kikao kazi cha wadau kutoka sekta mbalimbali za haki jinai zilizokutana pamoja katika kikao cha siku tatu cha kupata maoni yatakayowezesha kuandaa sera ya taifa ya mashtaka nchini. “Wadau wote muhimu wamehudhuria kikao hiki na nategemea mtashirikiana kuweka mfumo wa mashtaka unaoeleweka, uliowazi na unaofanana nchi nzima na

MAONI YATAKAYOWEZESHA KUANDAA SERA YA TAIFA YA MASHTAKA YAANZA KUKUSANYWA

Image
Mkurugenzi wa Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki Bw. Patience Ntwina akiongoza kikao cha kukusanya maoni yatakayowezesha  kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka kilichojumuisha waendesha mashtaka kutoka mikoa mbalimbali Washiriki wa kikao cha k ukusanya maoni yatakayowezesha  kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka kilichojumuisha waendesha mashtaka kutoka mikoa mbalimbali. Picha ya pamoja baada ya  kikao cha k ukusanya maoni yatakayowezesha  kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka kilichojumuisha waendesha mashtaka kutoka mikoa mbalimbali.

KILA MTANZANIA ANA HAKI YA KUPATA TAARIFA – WAZIRI KABUDI

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, akizungumza na wawakilishi wa Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa katika kikao   kilichofanyika ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa Bw. Kajubi Mukajanga akizungumza kwenye kikao chao na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma. Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, (hayupo pichani) wakati akizungumza na wawakilishi wa Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma. XXXXXXXXXXXXXXXXXX Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi,amewataka watanzania na vyama visivyo vya kiserikali kulinda haki za binadamu na kufuata sheria za uhuru wa kujieleza  kwani ni jukumu  lao  kikatiba. Pia amesema kuwa jukumu la serikali  ni kuhakikisha inasimamia na kuzilinda sheria hizo kupitia taasisi ya tume ya haki za binadamu na utawala bora. Waziri.Kab

TANZANIA SIO NCHI YA KWANZA KUTUMIA KISWAHILI KATIKA UTOAJI HAKI - PINDA

Image
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Gephrey Pinda akifafanua jambo kwa washiriki wakati wa  Mkutano wa kujadili matumizi ya kiswahili katika Tasnia ya sheria uliofanyika Juni 11,2021 jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju akitoa mada kuhusu mabadiliko ya sheria na hatua zilizochukuliwa na Serikali wakati wa Mkutano wa kujadili matumizi ya kiswahili katika Tasnia ya sheria uliofanyika Juni 11,2021 jijini Dodoma. Mwalimu kutoka Shule kuu ya Sheria ya chuo kikuu cha Dar es salaam Dkt. Asina Omari akitoa mada kwa washiriki wakati wa Mkutano wa kujadili matumizi ya kiswahili katika Tasnia ya sheria uliofanyika Juni 11,2021 jijini Dodoma. Mratibu wa Mkutano  wa kujadili matumizi ya kiswahili katika Tasnia ya sheria  Dkt.Ayubu Rioba akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa kujadili matumizi ya kiswahili katika Tasnia ya sheria uliofanyika jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Geophrey Pinda akiwa katika picha ya pamoja baadhi ya washiriki wakati wa
Image
 Mkutano wa wadau mbalimbali kujadili matumizi ya Kiswahili katika Tasnia ya Sheria umefanyika katika ukumbi wa Hotel ya ST. Gasper  jijini Dodoma Juni 11-12, 2021.

WAZIRI KABUDI AAHIDI KUWEKA MAZINGIRA RAFIKI KWA WANANCHI KUFIKIA VYOMBO VYA HAKI

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi (katikati mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wizara na viongozi wa shirika la mtandao wa watetezi wa haki za binadamu walipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akiongea na viongozi wa shirika la mtandao wa watetezi wa haki za binadamu walipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma. Mwenyekiti wa  shirika la mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Bw. Onesmo Ngurumo akiongea wakati alipomtembelea Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi  ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma. XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX SERIKALI imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa kutetea Haki za binadamu ili kuhakikisha wananchi wanapata haki kama ilivyo ainishwa katika katiba na ilani ya Chama cha Mapindizi (CCM) 2020/2025.   Akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Kutetea Mashirika yanayotetea haki za Binadamu (THRDC) Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamaga