MAONI YATAKAYOWEZESHA KUANDAA SERA YA TAIFA YA MASHTAKA YAANZA KUKUSANYWA


Mkurugenzi wa Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki Bw. Patience Ntwina akiongoza kikao cha kukusanya maoni yatakayowezesha  kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka kilichojumuisha waendesha mashtaka kutoka mikoa mbalimbali

Washiriki wa kikao cha kukusanya maoni yatakayowezesha  kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka kilichojumuisha waendesha mashtaka kutoka mikoa mbalimbali.
Picha ya pamoja baada ya kikao cha kukusanya maoni yatakayowezesha  kuandaa Sera ya Taifa ya Mashtaka kilichojumuisha waendesha mashtaka kutoka mikoa mbalimbali.



Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA