PROF. KABUDI AWATAKA WATUMISHI KATIBA NA SHERIA KUSHIRIKI UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA WIZARA NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WAKE

 


Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akiwa na Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome na Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju wamesimama maalum kwa ajili ya kuimba wimbo wa mshikamano daima kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika mkoani Morogoro tarehe 17 Julai,2021

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akizungumza wakati wa kumkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo kilichofanyika mkoani Morogoro tarehe 17 Julai, 2021  


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo kilichofanyika mkoani Morogoro tarehe 17 Julai, 20221


Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria walioshiriki kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo wakifuatilia kikao hicho kilichofunguliwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi mkoani Morogoro tarehe 17 Julai 2021




Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi hayupo pichani alipofungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo mkoani Morogoro  


Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Sifuni Mchome na Naibu katibu kuu Bw. Amon Mpanju katka picha ya pamoja bada ya kumaliza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika mkoani Morogoro tarehe 17 Julai, 2021

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA