WIZARA YAKABIDHI ENEO LA UJENZI WA JENGO LA WIZARA KWA MKANDARASI SUMA JKT

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome ameongoza kikao baina ya Menejimenti ya Wizara , Mshauri Mwelekezi (TBA) pamoja na Mkandarasi (SUMA JKT) wakati wa kukabidhi eneo la ujenzi ambalo litajegwa jengo la Wizara mapema leo jijini Dodoma.