WIZARA YAKABIDHI ENEO LA UJENZI WA JENGO LA WIZARA KWA MKANDARASI SUMA JKT

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome ameongoza kikao baina ya  Menejimenti ya Wizara , Mshauri Mwelekezi (TBA) pamoja na Mkandarasi (SUMA JKT) wakati wa  kukabidhi eneo la ujenzi ambalo litajegwa jengo la Wizara mapema leo jijini Dodoma.










Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA