KABUDI AONGOZA KIKAO KAZI CHA NDANI OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA USWISI

 


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiongoza kikao kazi cha ndani kilichofanyika katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, mjini Geneva, Uswisi tarehe 3/11/2021.
Kikao kazi hicho kilihudhuriwa pia na Balozi wa Tanzania katika mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Uswisi Mhe. Maimuna Tarishi, Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome, Naibu Katibu Mkuu Ndg. Amon Mpanju pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Katiba na Sheria na ofisi ya Balozi.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA