MKUTANO WA 58 WA SHIRIKA LA MASHIRIKIANO YA KISHERIA WA AFRIKA NA ASIA WAANZA MJINI HONGKONG CHINA.


 
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda, amemwakilishaWaziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi ambaye ni Rais wa Mkutano wa 58 wa Shirika la Mashirikiano ya Kisheria wa Afrika na Asia (AALCO) katika mkutano huo unaofanyika HongKong China kuanzia tarehe 29 Novemba hadi 01 Disemba. Katika mkutano huo Mhe. Pinda aewasilisha hotuba ya Rais wa Shirika hilo.

Aidha katika mkutano huo Prof. Gaston Kennedy ambaye ni Katibu Mkuu wa AALCO ameendesha mkutano huo wenye lengo la kumpata Katibu Mkuu mpya  baada ya Pro. Kennedy kumaliza muda wake.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA