WAZIRI KABUDI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE TATHMINI YA MASUALA YA HAKI ZA BINADAMU GENEVA
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha kwanza cha tathimini ya Tanzania juu ya Masuala ya Haki za Binadamu kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Geneva, Uswisi tarehe 5.11.2021.
Comments
Post a Comment