JAJI MKUU NA JAJI KIONGOZI WA TANZANIA WATEMBELEA BANDA LA WIZARA KWENYE MAONYESHO YA WIKI YA SHERIA


 Jaji  Mkuu wa Mahakama Mhe. Prof. Ibrahim Juma akipata maelezo kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Anne Malipula kutoka Wizara ya Katiba na Sheria alipotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonyesho ya Wiki ya Sheria yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.


Jaji kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Mustapha Siyani akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria kwenye maonyesho ya Wiki ya Sheria yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA