KATIBU MKUU BI MARY MAKONDO AKAGUA UJENZI WA OFISI ZA WIZARA YA KATIBA


 Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa ujenzi alipotembelea eneo la ujenzi  wa ofisi za Wizara ya Katiba na Sheria ili kujionea hali ilivyo na hatua iliyofikiwa.

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akikagua vifaa vya ujenzi vinavyotumika kwenye ujenzi wa ofisi za Wizara hiyo unaoendelea Mtumba, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akiwa ameongozana na viongozi  akiwemo Naibu Katibu Mkuu Dkt  Kazungu Khatibu na menejimenti ya wizara hiyo kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za wizara zilizopo Mtumba, jijini Dodoma.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA