VIONGOZI WA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAMTEMBELEA WAZIRI SIMBACHAWENE OFISINI KWAKE


 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (katikati)  akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Bw. Sylvester Mwakitalu (wa pili kushoto) mara baada ya kumtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma.


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (katikati)  akiwa katika picha ya pamoja na Wakili Mkuu wa Serikali Bw. Gabriel Malata (wa pili kushoto) mara baada ya kumtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma.


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (katikati)  akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora  walioambatana na Katibu Mtendaji wa Tume hiyo waliofika ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma. 

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA