VYOMBO VYA UPELELEZI MSIHARIBU MALI MNAZOKAMATAKABLA YA KESI KUMALIZIKA - MHE. GEOPHREY PINDA


 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kutembelea mabanda ya maonyesho katika Wiki ya Sheria inayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.


Naibu  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda akipata maelezo katika banda la Mahakama alipotembelea mabanda ya maonyesho katika Wiki ya Sheria.


 Naibu  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la kitengo cha maboresho katika mahakama ya Tanzania.


Naibu  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda akimsikiliza mwananchi aliyefika katika maonyesho ya Wiki ya Sheria katika kitengo cha malalamiko cha Mahakama ya Tanzania.


Naibu  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara hiyo wanatoa huduma katika banda la wizara kwenye maonyesho ya Wiki ya Sheria.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA