WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akiongoza kikao cha manejimenti ya wizara na kupata taarifa ya utekelezaji.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Kazungu Khatibu (aliyesimama) akiongea katika kikao cha menejimenti ya wizara hiyo kilichoongozwa na Waziri Simbachawene.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (kushoto) akifuatilia taarifa za utekelezaji wa majukumu ya wizara zinazotolewa wakuu wa idara na vitengo wa wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa kikao cha menejimenti ya wizara hiyo. Mwingine pichani ni Naibu Waziri Mhe. Geophrey Pinda 

 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (kushoto) akisikiliza kwa makini taarifa za utekelezaji wa majukumu zinazotolewa na wajumbe wa menejimenti katika kikao cha menejimenti ya wizara hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA