JAMII YAASWA KUKABIDHI JUKUMU LA USIMAMIZI WA MIRATHI KWA RITA BADALA YA NDUGU WA MAREHEMU
Waziri wa Katiba na SheriaMhe. George Simbachawene (kulia) akipokea taarifa ya utekelezaji ya Bodi ya Ushauri ya RITA iliyomaliza muda wake kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. Hamis Dihenga. Anayeshuhudia katikati ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda. Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya RITA iliyomaliza muda wake Prof. Hamis Dihenga akitoa taarifa fupi ya utekelezaji wa bodi hiyo kwa miaka mitatu kuanzia 2019 hadi 2022 kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene ( hayupo pichani) kabla ya kukabidhi kwake taarifa hiyo. Aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya RITA Bi. Nkasori Sarakikya akifafanua jambo kuhusu taarifa ya utekelezaji ya bodi hiyo. Baadhi ya wataalam waliohudhuria hafla hiyo ya kukabidhi taarifa ya utekelezaji. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na waliokuwa wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya RITA na viongozi wa Wizara. XXXXXXXXXXXXXXXXXXX Jamii imetakiwa kutokuhangaika kuta...