WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar alipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma na kujadiliana kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika kuboresha uwezo wa mifumo ya sheria ya kupambana na uhalifu wa kimataifa na rushwa.

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar ( kushoto) akimsikiliza Waziri Simbachawene ( hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma.

 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene(wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja  na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar ( wa nne kulia) baada ya mazungumzo yao.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA