WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA NA TAASISI KWA KIPINDI CHA JULAI HADI DISEMBA 2021

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene aongoza kikao cha Kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai hadi Disemba 2021)
 

Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel akichangia jambo katika kikao hicho.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akisisitiza jambo katika kikao cha Kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai hadi Disemba 2021)
 

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda (katikati) akifafanua jambo katika kikao cha Kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai hadi Disemba 2021). Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Dkt. Khatibu Kazungu.
 
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene aongoza kikao cha Kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai hadi Disemba 2021). Kulia kwa Waziri ni Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo.
 

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA