"HUKUMU ZINAZOTOLEWA MAHAKAMANI ZITEKELEZWE KWA WAKATI" WAZIRI SIMBACHAWENE

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akizindua ripoti ya wadau ya upatikanaji haki baada ya kufungua Kongamano la Msaada wa Kisheria la mwaka 2022. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa kitengo cha Msaada wa Kisheria ambaye pia ni Msajili wa Watoa Msaada wa Kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Felistas Mushi (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Huduma za Kisheria Bi. Lulu Ng'w'anakilala. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akipata maelezo kutoka kwa Wakili Neema Ahmed ambaye ni Mratibu wa TAWLA Mkoani Dodoma kabla Waziri Simbachawene hajafungua Kongamano la Msaada wa Kisheria linalofanyika jijini Dodoma. Wakili wa Serikali Bi. Lilian Kilembe akitoa huduma kwa mteja Bw. Benjamin Sembelu aliyefika kwenye banda la Wizara hiyo ili kupata msaada wa Kisheria wakati wa Kongamano la Msaada wa Kisheria jijini Dodoma. XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Waziri wa Katiba na Sheria George Simbachawene ataka kesi zilizotolewa maamuzi na mahakama maam...