MHE. GEOPHREY PINDA AONGOZA KIKAO KATI YA WIZARA NA TAASISI

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda akiongoza kikao kati ya Wizara na Taasisi zake wakijadili kuhusu utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa mwaka 2021/2022 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2022/2023.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akizungumza katika kikao kati ya Wizara na Taasisi zake wakijadili kuhusu utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa mwaka 2021/2022 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2022/2023.
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Bi. Elizabeth Tagora akifafanua jambo katika kikao kati ya Wizara na Taasisi zake wakijadili kuhusu utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa mwaka 2021/2022 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2022/2023.

Sehemu ya Washiriki wa kikao hicho.



Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA