MTANDAO WA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WAKUTANA NA WAZIRI SIMBACHAWENE


 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akizungunza katika kikao na baadhi ya wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu walipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma.


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu walipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA