WAZIRI PINDA AFUNGA KONGAMANO LA MSAADA WA KISHERIA


 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda akiongea kabla ya kufunga Kongamano la Msaada wa Kisheria 2022 lililofanyika jijini Dodoma.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Huduma za Kisheria (LSF) baada ya kufunga Kongamano la Msaada wa Kisheria 2022 lililofanyika jijini Dodoma.


Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo (katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Huduma za Kisheria (LSF) Bi Lulu Ngw'anakilala. Anayeshuhudia kushoto ni Msaidizi wa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Bw. Elia Athanas.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda (katikati) akionesha zawadi alizopokea kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Huduma za Kisheria (LSF) baada ya kufunga Kongamano la Msaada wa Kisheria 2022 lililofanyika jijini Dodoma.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Pinda (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara na wa Shirika la Huduma za kisheria .



Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA