WAZIRI NDUMBARO: USULUHISHI WA MIGOGORO NJE YA MAHAKAMA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA TANZANIA




 


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo akizungumza jijini Dar Es Salaam kwenye hoteli ya Lamada wakati akifungua mkutano wa siku 3 wa masuala ya haki na usuluhioshi wa migogoro ya kibiashara barani Afrika kwa njia mbadala.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatib Kazungu akizungumza jijini Dar Es Salaam alipokuwa akimkaribisha waziri Dkt. Damas Ndumbaro kwenye hoteli ya Lamada  ili kuzungumza na kufungua mkutano wa siku 3 wa masuala ya haki na usuluhioshi wa migogoro ya kibiashara barani Afrika kwa njia mbadala.


                                                                Picha ya pamoja

Baadhi ya washiriki wa kikao.




Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA