KATIBU MKUU MARY MAKONDO ATAKA UBUNIFU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo.

Bw. Candid Nasua akichangia hoja kwenye kikao hicho.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX


Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Mary Makondo amewataka wafanyakazi wa Wizara hiyo kuwa wabunifu kwenye fursa mbalimbali zinazojitokeza katika utendaji kazi wao.

Katibu Mkuu Makondo ameyasema hayo, leo Mei 31, 2022 wakati wa kikao cha wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria na menejiment ya Wizara hiyo Jijini Dodoma.

"tuanze kwanza na fursa zilizopo, kisha tuangalie namna ya kutatua changamoto zetu, aidha tuongeze bidii katika kazi, uadilifu, umakini na tuboreshe mawasiliano ya ndani na kwa wateja wetu"alisema Katibu Mkuu Makondo

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA