kIKAO KAZI CHA WATAALAM WA SMZ NA WA CSO CHA KUHAKIKI NA KUIMARISHA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA HAKI ZA BINADAMU


 Bi Hanifa Soud Mkurugenzi wa idara ya  Katiba na Msaada wa Kisheria katika Afisi ya Rais-Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora akifungua kikao kazi cha Watalaam SMZ na wa CSO cha kuhakiki na kuimarisha Mpango kazi wa Taifa wa Haki za Binadamu kinachofanyika Zanzibar.


Watalaam hao wakimsikiliza mgeni Rasmi

Watalaam  wa SMZ na wa CSO  wakiwa katika picha ya pomoja baada ya ufunguzi wa kikao kazi cha kuhakiki na kuimarisha Mpango kazi wa Taifa wa Haki za Binadamu kinachofanyika Zanzibar kuanzia leo tarehe 22 hadi tarehe 24 Juni, 2022.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA