TANGAZO KWA UMMA
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA
YA KATIBA NA SHERIA
|
Simu Na.: +255 26 2310019
Nukushi: +255 26 2310056
Barua Pepe: km@sheria.go.tz
DodomaTovuti: www.sheria.qotz
TANGAZO
KWA UMMA
Kwa
mujibu wa Kanuni ya 14(1), (2) na (3) ya Kanuni za Ithibati ya Waendesha
Maridhiano, Majadiliano, Upatanishi na Usuluhishi, 2021 (Reconciliation, Negotiation, Mediation and Arbitration (Practitioners
Accreditation), 2021 imetoa mamlaka kwa Msajili wa waendesha Maridhiano,
Majadiliano, Upatanishi na Usuluhishi kutoa taarifa kwa watu waliowasilisha
maombi ya kusajiliwa kuwa waendesha Maridhiano, Majadiliano, Upatanishi na
Usuluhishi na Taasisi zinazojihusisha na utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala
kuhusu uamuzi uliofanywa na Jopo la Ithibati kuhusiana na maombi husika.
Kwa
msingi huo, Msajili wa watoa huduma za Maridhiano, Majadiliano, Upatanishi na
Usuluhishi anapenda kuwataarifu waombaji na umma kwa ujumla kuwa, katika Kikao
chake cha Tatu cha Jopo la Ithibati ya Waendesha Maridhiano, Majadiliano, Upatanishi
na Usuluhishi kilichofanyika tarehe 17-18 Juni, 2022 kimetoa ridhaa kwa wafuatao,
baada ya kukidhi vigezo, wasajiliwe kuwa watoa huduma za utatuzi wa migogoro
kwa njia mbadala kama ifuatavyo:
(a)
Waleta
Maombi 37 wameidhinishwa kuwa Wasuluhishi wa Kudumu:
1.
Mhe. Engera Kileo, Jaji
Mstaafu
2.
Mhe. Richard Eliakunda Samwel
Mziray, Jaji Mstaafu
3.
Mhe. Atuganile Florida
Ngwala, Jaji Mstaafu
4.
Edward Peter Chuwa
5.
Baraka Hitlani Mbwilo
6.
Christopher Bulendu
7.
Dennis B. Mtemi
8.
Leila Hawkins
9.
Peter Lesa Kasanda
10. Ramadhani
Kiungulia Mussa
11. Rebecca
John Lyanga
12. Rosemary
Maaja
13. Shehzad
Amir Walli
14. Jerome
Pantaleo Rweshagara
15. Judith
Subi Lugeye
16. Lucy
Salutarius Kessy
17. Marwa
Masanda
18. Patric
David Mapenzi Mhina
19. Samuel
Nyantari Marwa
20. Thomas
Ernest Nguluka
21. Verdiana
Nkwabi Macha
22. Adeline
Elisei Temu
23. Clement
Eliejenja Ahia Kihoko
24. Edwin
Thomas msacky
25. Jonathan
George Mbuga
26. Lovenear
John Pilimbe
27. Massa
Kitakwa Mumburi
28. Sabho
Nyakore Wambura
29. Hadija
Ally Kinyaka
30. Theresia
Charles Numbi
31. Georgina
Herieth Bazil
32. Irene
Stanley Mwanyita
33. Irene
Lulu Nyange
34. Oscar
Marius Kizuguto
35. Simon
Edward Makata
36. CENC.
Kini Christian Jiyenze
37. Mnyiwala
Wakangile Mapembe
(b)
Waleta
Maombi 13 wameidhinishwa kuwa Wasuluhishi wa Muda kwa mujibu wa Kanuni ya 6(1),
(2) ya Kanuni za Ithibati ya Maridhiano, Majadiliano Upatanishi, na Usuluhishi,
2021:
1.
Amreen Ayub
2.
Gisera Jovinus Maruka
3.
Liberatha Bamporiki Renatus
4.
Pilly Hussein Yahya
5.
Deogratius L. Rugambwa
6.
Anna Francis Tupa
7.
Grace Philotfa Joachim
8.
Jackson Moses Munuo
9.
William Haidary Hassan
10.
Yassin Mwaitenda Maka
11.
Angela Wilson Sirikwa
12.
MariaAlicia Semhelwa
Faustine
13.
Comfort Mugisha Blandes
(c)
Waleta
Maombi 26 wameidhinishwa kuwa Wapatanishi wa Kudumu wa Upatanishi:
1.
Mhe. Susana Berdard Mkapa
(Jaji Mstaafu)
2.
Prof. Zakayo Ndobir Lukumay
3.
Christopher Bulendu
4.
Erick Elizeus Mukiza
5.
Haika Belinda John Macha
6.
Gisera Jovinus Maruka
7.
Mariam Iddy Mtiginjollah
8.
Rebecca John Lyanga
9.
Rosemary Maajar
10.
Shehzad Amir Walli
11.
Jerome Pantaleo Rweshagara
12.
Judith Subi Lugeye
13.
Lucy Salutarius Kessy
14.
Marwa Masanda Wambura
15.
Patric David Mapenzi Mhina
16.
Samuel Nyantari Marwa
17.
Salome Brenda Mallamia
18.
Anna Tumaini Mwita
19.
Blandina Oscar Mnunga
20.
Clement Eliejenja Ahia
Kihoko
21.
Elizabeth Vitalis Kimario
22.
Jonathan George Mbuga
23.
Theresia Charles Numbi
24.
Aderickson Hezron Njuwa
25.
Georgina Bazil
26.
Irene Lulu Nyange
(d)
Waleta
Maombi 11 wameidhinishwa kuwa Wapatanishi wa Muda kwa mujibu wa kanuni ya 5(1)
na (2) ya Kanuni za Ithibati ya Maridhiano, Majadiliano Upatanishi, na Usuluhishi,
2021:
1.
Noel Henry Maruwa
2.
Fortune Mathew Nkolongo
3.
MariaAlicia Semhelwa
Faustine
4.
Bevin Milton Shango
5.
Moses Cyril Masami
6.
William Haidary Hassan
7.
Jackson Moses Munuo
8.
Anna Francis Tupa
9.
Deogratius L. Rugambwa
10.
Pilly Hussein Yahya
11.
Liberatha Bamporiki Renatus
(e)
Waleta
Maombi 5 wameidhinishwa kuwa Waendesha Majadiliano:
1.
Christopher Bulendu
2.
Rebecca John Lyanga
3.
Shehzad Amir Walli
4.
Jerome Pantaleo Rwashagara
5.
Salome Brenda Mallamia
(f)
Waleta
Maombi 3 Wameidhinishiwa kuwa Waendesha Majadiliano wa muda kwa mujibu wa Kanuni
ya 5(1) na (2) ya Kanuni za Ithibati ya Maridhiano, Majadiliano Upatanishi, na
usuluhishi, 2021:
1.
William Haidary Hassan
2.
Moses Cyril Masami
3.
Jackson Moses Munuo
(g)
Waleta
Maombi 4 walipata usajili wa kudumu wa Maridhiano kama ifuatavyo:
1.
Christopher Bulendu
2.
Rebecca John Lyanga
3.
Shehzad Amir Walli
4.
Rosemary Maajar
(h)
Waleta
Maombi 3 walipata usajili muda wa Maridhiano kwa mujibu wa kanuni ya 5(1) na
(2) ya Kanuni za Ithibati ya Maridhiano, Majadiliano Upatanishi, na usuluhishi, 2021 kama ifuatavyo:
1.
Moses Cyril Masami
2.
William Haidary Hassan
3.
Jackson Moses Munuo
(i)
Taasisi
2 zilipitishwa kusajiliwa kama watoa huduma za ADR, ambazo ni zifuatazo:
1.
AQRB
2.
I-RESOLVE
Kwa
muktadha huo, Ofisi ya Msajili wa Waendesha Maridhiano, Majadiliano, Upatanishi
na Usuluhishi inawatangazia watalaam wote pamoja na Taasisi zilizoidhinishwa na
Jopo kulipa ada ya usajili na kupokea cheti cha kuendesha huduma hizo kupitia namba
ya malipo inayopatikana kwenye tovuti ya Wizara - http://mmuu.sheria.go.tz. Ada hizo ni kama ifuatavyo:
Ada ya Usajili (Accreditation Fees)
Na. |
Kada |
Kiasi
|
|
Usuluhishi |
300,000/= |
|
Upatanishi |
100,000/= |
|
Majadiliano |
100,000/= |
|
Maridhiano |
100,000/= |
Kwa maelekezo zaidi tafadhali wasiliana na Msajili
kupitia msajili.mmuu@sheria.go.tz
au kupitia simu Na. +255 754 401 406.
Imetolewa na:
KITENGO
CHA MAWASILIANO SERIKALINI
WIZARA
YA KATIBA NA SHERIA
22/06/2022
Comments
Post a Comment