WAZIRI NDUMBARO AFUNGUA MAFUNZO YA SHERIA YA MANUNUZI KWA BODI YA ZABUNI NA MENEJIMENTI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA


 


XXXXXXXXXXXXXXXXXX

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amefungua mafunzo ya Sheria ya Manunuzi kwa Bodi ya Uzabuni na Menejimenti ya Wizara ya Katiba na Sheria. Mafunzo haya yameaza leo tarehe 6-9 Julai, 2022 Jijini Dar es salaam.


Dkt. Ndumbaro amesema mafunzo haya yaangalie na kuzingatia maelekezo ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ili kuboresha mfumo wa manunuzi na kuondoa urasimu

"kama wataalam tutafute fomula itakayotupa mfumo wenye uwazi, thamani ya pesa, ubora wa bidhaa na huduma na kuondoa mianya ya rushwa pasipo kuwepo kwa urasimu" alisema Dkt. Ndumbaro

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA