Kikao cha Uwasilishaji wa Andiko la Utekelezaji wa Mradi wa Kupambana na Uhalifu Mkubwa wa Kupangwa.


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria akiongoza kikao cha uwasilishaji wa andiko la Utekelezaji wa Mradi wa Kupambana na Uhalifu Mkubwa wa Kupangwa.


Naibu Katibu Mkuu Dkt. Khatib Kazungu akifafanua jambo kwenye kikao hicho


Washiriki wa kikao.

XXXXXXXXXXXXXX

Kikao cha uwasilishwaji wa Andiko la Utekelezaji wa Mradi wa Kupambana na uhalifu mkubwa wa kupangwa. Kikao kimefanyika Ofisi za Wizara ya Katiba na Sheria mtumba jijini Dodoma Julai 1, 2022 na kiliongozwa Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo na kilihudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu  TAMISEMI Dkt. Charles Msonde na Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani Bw. Christopher Kadio, Pia Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA