UZINDUZI WA KIKOSI KAZI CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKUBWA WA KUPANGWA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Mary Makondo akizungumza katika hafla ya uzinduzi Kikosi Kazi  kilichoundwa na Serikali kupambana na uhalifu mkubwa wa kupangwa, hususani usafirishaji haramu wa binadamu na udhalilishaji wa kingono kwa watoto. Hafla hiyo ilihudhuriwa pia na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar. Uzinduzi ulifanyika Zanzibar tarehe 6 Julai, 2022

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA