MABORESHO YA SHERIA YA MSAADA WA KISHERIA







 XXXXXXXXXX

Wataalam kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wamekutana na kuanza kujadili Sheria ya Huduma za Msaada wa Kisheria, ili kuainisha maeneo yanayohitaji kuboreshwa.

Kikao kazi hicho kinaongozwa na Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria na Msajili wa huduma hizo, Bi. Felistas Mushi na kinafanyika Jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 09/08/2022 kwa ufadhili kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu-LHRC. 


Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA