WAZIRI NDUMBARO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CANADA


 

XXXXXXXXXXXXXX

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O'Donnell ambaye amefika kumuaga akitarajia kumaliza muda wake wa utumishi mwishoni mwa mwezi Agosti 2022.

 

Maeneo waliyozungumzia ni pamoja na kubadilishana ujuzi katika ulinzi wa mali asilia, masuala ya haki za binadamu hususani ulinzi kwa watoto, mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya, mchakato wa kurekebisha sheria ya ndoa na sheria zinazohusu ushiriki wa wanawake katika siasa.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA