WAZIRI NDUMBARO AKUTANA NA DKT. BAERBEL

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa kiuchumi na Maendeleo wa Serikali ya Ujerumani Mhe. Dkt. Baerbel Kofler. Mazungumzo hayo yamehudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu pamoja na wataalam kutoka Ubalozi wa Ujerumani.
 
Naibu Waziri wa Ushirikiano wa kiuchumi na Maendeleo wa Serikali ya Ujerumani Mhe. Dkt. Baerbel Kofler akifafanua jambo.


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ushirikiano wa kiuchumi na Maendeleo wa Serikali ya Ujerumani Mhe. Dkt. Baerbel Kofler (hayupo pichani).

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA