MAELEKEZO YA RAIS SAMIA YAANZA KUTEKELEZWA NA WIZARA


 


XXXXXXXXXXXX

Wataalam wa Wizara ya Katiba na Sheria waanza kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupitia sheria za usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji. Maagizo hayo yalitolewa na Rais Samia katika Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali uliofanyika mwishoni mwa mwezi Septemba, 2022 jijini Dodoma.

Rais Samia alitoa maagizo hayo kutokana na malalamiko mengi kutoka kwa wawekezaji namna migogoro ya uwekezaji inapotokea na inavyosuluhishwa na kuonekana kupendelea upande mmoja.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA