WAZIRI NDUMBARO ASHIRIKI HAFLA YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA KITUO JUMUISHI

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiongea katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Kituo Jumuishi cha Sheria Mkoani Mwanza, Novemba 29, 2022. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Khatibu Kazungu akiongea katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Kituo Jumuishi cha Sheria Mkoani Mwanza, Novemba 29, 2022. XXXXXXXXXXXXX Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Kituo Jumuishi cha Sheria Mkoani Mwanza leo Novemba 29, 2022. Baadhi ya viongozi waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu, Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu, Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende, Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bw. Patience Ntwina. Katika hotuba yake, Mheshimiwa Dkt. Ndumbaro amepongeza jitihada hizo na ushirikiano u...