KIKAO KAZI


 


XXXXXXXXXXXXX

Wataalam kutoka Wizara ya Katiba na sheria na Taasisi zilizo chini yake wakutana mjini Morogoro kwa kikao kazi cha siku tano kuanzia Novemba 22 hadi 26, 2022 kuandaa vipaumbele vya Wizara kwa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Pia katika kikao hicho watajadiliana  kuhusu maandalizi ya kuanza Kwa awamu ya pili ya Maboresho ya Sekta ya Sheria kwa kuzingatia mapendekezo yaliyotolewa na Mtaalam Mwelekezi alipofanya utafiti juu ya changamoto zinazoikabili sekta ya sheria.


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA