Wizara 23 zaungana kutokomeza TB

 


Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Marry Makondo pamoja na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera, na Uratibu  Dkt Jim Yonazi  wakiwa  kwenye picha ya pamoja  na Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali  baada ya kikao  tarehe 21 Machi 2023 Jijini Dodoma .
                                                  
                                                         xxxxxxxxxxxxxxxx 

Na, Lusajo Mwakabuku.

Katika kuhakikisha dhamira ya kupambana na hatimaye kuitokomeza TB na vichochezi vyake inakamilika, ushirikiano wa Sekta mbalimbali za Serikali zaidi ya zile zinazohusika na afya pamoja na vipaumbele thabiti vya kisiasa katika ngazi za juu za uongozi vina nafasi kubwa katika kuumaliza ugonjwa huu nchini.

Ni kwa mtazamo huo wa Serikali uliopelekea Wizara 23 kuingia makubaliano ya kuunda Mfumo wa Uwajibikaji wa Sekta mbalimbali (Multisectoral Accountability Framework - MAF) uliotiwa Saini na wawakilishi wa Wizara hizo jana 21/03/2023 Jijini Dodoma.


Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA