Dkt. Ndumabro apokea Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Dkt. Damas Ndumbaro katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria na sehemu ya Menejimenti ya Wizara wakati wa hafla ya kupokea Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria, tarehe 11 Aprili, 2023 Jijini Dodoma.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx


Na William Mabusi - WKS
 

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Dkt. Damas Ndumbaro amepokea Taarifa za mapitio ya Mfumo wa Sheria zinazosimamia Uchaguzi na Vyama vya Siasa Nchini na Mapitio ya Mfumo wa Sheria zinazosimamia utoaji haki katika Mahakama za Mwanzo kutoka kwa Mhe. January H. Msoffe (Jaji Mstaafu) Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Hafla hiyo imefanyika tarehe 11 Aprili, 2023 Ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma. Taarifa hizo zitawasilishwa Bungeni kwa mujibu wa sheria ili mchakato wa mabadiliko ya sheria hizo uanze.

Katika hafla hiyo Dkt. Ndumbaro ametoa rai kwa Wizara na Taasisi zote za umma zinazotaka kufanya tafiti, marejeo au uboreshaji wa sheria zao kutumia Tume ya Kurekebisha Sheria kwani ndiyo yenye mamlaka kufanya kazi hiyo


Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA