Wizara ya Katiba na Sheria yafanya Kongamano la Kitaifa la Sheria ya Ndoa


 

Mgeni Rasmi kwenye Kongamano la Kitaifa la Sheria ya Ndoa, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria katika picha ya pamoja na baadhi ya Waheshimiwa Wabunge walioshiriki kwenye kongamano hilo lililofanyika tarehe 26 Aprili, 2023 Jijini Dodoma.



Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kimila walioshiriki kwenye kongamano hilo lililofanyika tarehe 26 Aprili, 2023 Jijini Dodoma.



Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria katika picha ya pamoja na Viongozi wa Dini walioshiriki kwenye kongamano hilo lililofanyika tarehe 26 Aprili, 2023 Jijini Dodoma.

Comments

Popular posts from this blog

USAJILI WA VIZAZI NA VIFO NI TAKWA LA KISHERIA

UONGOZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU YAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA