TAWLA yafanya Mkutano Mkuu wa 33


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul akihutubia katika Mkutano Mkuu wa 33 wa TAWLA, tarehe 06 Mei, 2023
 
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Mhe. Pauline Gekul Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ameshiriki ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (Tanzania Women Lawyers – TAWLA) uliofanyika tarehe 06 Mei, 2023 Jijini Dar es Salaam. Mgeni Rasmi katika mkutano huo alikuwa Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania. 

Katika hotuba yake Naibu Waziri, alisisitiza kuwa Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria itaendelea kushirikiana na TAWLA hususan katika kupokea mapendekezo na maoni ya marekebisho mbalimbali ya sheria.

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YAIPONGEZA WIZARA KWA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

TUFANYE KAZI KWA UADILIFU NA USHIRIKIANO - MHE CHANA